Not in Saudia Mkuu.. It happened in Morroco.. Unajua Wasaudia kwao sheria ni kali so huwa wanasafiri kwenda kufanya ngono nje.. Kuna wakati nilikuwa Bahrain wenyeji wangu wakanionyesha matajiri wa Saudia waliokuja pale Bahrain kwa ajili ya kufuata malaya kwa ciri.. Tamaa ya mwili haina dini..