Tuliza mshono we mlokole.hijja ni ibada takatifu lazima usalama uhakikishwe.
Dada utaratibu wa checkup ni kwa watu wote wanaoingia saudia kipindi cha hijja.kama ujuavyo karibu dunia nzima waislam wanakutana pale kukamilisha ibada sasa huyu hater wa waislam anataka kuwaaminisha watu kwamba waislam wana mgogoro wa kiimani baina ya Shia na sunni.wakati siyo kweli.huyu jamaa ni mkristo mwenye itikadi kali.Tuelewesheni basi tusiojua..........wakishakujua wewe ni Shia/Sunni............what next.........?...........
Angalia duara lekundu (kulia kwenye fomu)
.
cc: Ishmael.lancanshire .Preta.Bill Cosby.Homo Habilis.
Why specifically shia? Why not Ismailia, or Ahmmadya?
It is because of the war in Yemen or Shia's support of Assad in Syria?
Kama wewe ni Sunii kama Muhammad, unaruhusiwa kwenda Hijja, na kama wewe ni Shia, basi unarudishwa kwenu. Hii ndio siri na tatizo katika Uislam.Tuelewesheni basi tusiojua..........wakishakujua wewe ni Shia/Sunni............what next.........?...........