Wanataka kumfurahisha Trump.Hii tayari ishakuwa tatizo.. Na yote hayo kutaka kumfurahisha fulani.
Duh! Ha ha ha!pia wamepiga marufuku wananchi wake kuvaa jezi za Barcelona ambao wadhamini wao ni Qatar Airways. ukikamatwa faini $120,000 au jela miaka 6
Du, hii imeingia mpaka kwenye dini. Saudia Arabia inabidi wajitafakari sana kwenye hili
Na wewe una matatizo; kwani Shia hawaruhusiwi kuhiji maeneo hayo? Mbona mnapenda sana utengano hata ninyi kwa ninyi?Saudia ni kibaraka wa marekani, kama wanawaruhusu makafiri wa kishia kwenda kuhiji alafu wanawakataza ndugu zao wa Qatar kisa tu wanaunga mkono makundi ya kigaidi ni upotofu uliomkubwa sana na watakuwa na dhima ya kujibu mbele za Allah. Hii ni dini na sio siasa