Saudi Arabia: Mahujaji kutoka Qatar wazuiwa kuingia nchini humo kwaajili ya kuhiji Mecca

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,472
2,000
SAUDI ARABIA: Mahujaji kutoka Qatar wazuiwa kuingia nchini humo kwaajili ya kwenda kuhiji katika Msikiti wa Masjid al-Haram uliopo Mecca.

Zuio hilo limekuja baada ya kuzuka kwa mgogoro baina ya Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu, Bahrain, Misri na Jordan dhidi ya taifa la Qatar.

====
fa71781094534f238548530aa16cb0c8_18.jpg

Saudi authorities have prevented Qatari nationals from entering the Grand Mosque in Mecca, marking a sharp escalation in the Gulf diplomatic crisis, Doha-based Al Sharq newspaper has reported.

Qatar's National Human Rights Commission (NHRC) received complaints from Qatari citizens that pilgrims from Qatar were barred from entering the Masjid al-Haram in Mecca, the paper said on Saturday.

Ali bin Smaikh al-Marri, the NHRC head, called the incident a flagrant violation of the right to practice religious rites as permitted by human rights conventions, the paper said.

The NHRC denounced the incident, considering the step a violation of the right to perform religious rituals guaranteed by human rights conventions, Al Sharq added.

It should be noted that Saudi authorities do not normally question people entering the Grand Mosque on their ethnicity or sectarian affiliation.

Inside Story - Blockade on Qatar is 'toying' with people's lives. The claims come a few days after the UAE and Bahrain criminalised"sympathy" for Qatar on social media.

The UAE said offenders would be punished with a jail term of up to 15 years, and a $136,000 fine. Bahrain declared it punishable by imprisonment of up to five years.

Since the diplomatic row erupted, slogans against and in support of Qatar have been among the top topics discussed on Twitter in Arabic, which is a hugely popular medium of expression in the Arab world, particularly in Saudi Arabia.

The dispute between Qatar and the Arab countries escalated after a cyberattack on Qatar's state-run news agency.

Saudi Arabia, Bahrain, the UAE and Egypt severed diplomatic ties and transport links with Qatar on Monday, accusing it of supporting "extremism".

Qatar has vehemently denied the charges. In its statement, the Qatari government said it has been leading the region in attacking what it called the roots of "terrorism", including giving young people hope through jobs, educating hundreds of thousands of Syrian refugees and funding community programmes to challenge agendas of armed groups.

"Our position on countering terrorism is stronger than many of the signatories of the joint statement - a fact that has been conveniently ignored by the authors," the government said.

Source: Al Jazeera News
 

fattys

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
666
500
Fighting for superiority. Saudi Arabia are trying to expand her influence in Arabic Contries block. Political differences between Saudi Arabia and her archival Iran have now escalated to religious sects.
Saudi Arabia the favoured by USA now is expanding her tentacles to neighbors and whoever sort alliance with Iran is labelled as a enemy of the prosperity of the welfare of Arabic Countries especially the Sunn sect.
It is not surprising to see what is transpiring because at a point of time Iran questioned the moral purity of Saudi Arabia to continue harbouring the Moslem most Holy places.
But real it is a turning point since never before these happened. It is believed a pilgrimage to Mecca is one of pillars of Islamic and is a Sharia law from Allah. Who is now greater from Allah to prevent one observing or fulfilling the command?!
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,200
2,000
That is absolutely wrong! Kwani mahujaji wanaenda hijja kwa fadhila za Saudia au ni kwa maamrisho ya Mwenyezi Mungu? Maeneo ya hijja kuwemo Saudia isiwe sababu ya nchi husika kuyageuza siasa; yanatakiwa yabaki kuwa ya kidini - nje kabisa ya siasa.

Ila kama kuna mahujaji wataenda huko "kisiasa" ndio wadhibitiwe na sio kukataza wote hata wasiojua "hili wala lile". Serikalini huko mkikosana mimi mwananchi wa kawaida imani yangu inahusikaje? Wanapaswa kulitafakari hili upya otherwise litaleta mgogoro mkubwa siku za usoni na Western wakiingilia italeta tatizo juu ya tatizo - makafir!
 

Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,640
2,000
Saudia ni kibaraka wa marekani, kama wanawaruhusu makafiri wa kishia kwenda kuhiji alafu wanawakataza ndugu zao wa Qatar kisa tu wanaunga mkono makundi ya kigaidi ni upotofu uliomkubwa sana na watakuwa na dhima ya kujibu mbele za Allah. Hii ni dini na sio siasa
 

SANCTUS ANACLETUS

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
3,010
2,000
Du, hii imeingia mpaka kwenye dini. Saudia Arabia inabidi wajitafakari sana kwenye hili
Tatizo liko kwenye msingi Wa mafundisho msingi(dogma). Ni kama nyumba ukisha-set msingi Wa hovyo unashangaa nini kuona huko juu kwenye kuta na paa pamepinda pinda? Juzi hapa watu walishangilia kule Zanzibar, SMZ kuwa "nyapara" Wa "protokali" za Ramadan.Sasa leo munalaumu nini Serikali ya Saudia kuwapiga ban Qataris kuingia kwao? Hao Wa-qatar ni makafiri tu na Kafir anaruhusiwa vipi kuingia Mecca?
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,691
2,000
MZOZO WA KISERIKALI SASA UMEKUWA WA KIDINI PIA.KUNA DALILI ZA KUIONEA WIVU QATAR
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,200
2,000
Saudia ni kibaraka wa marekani, kama wanawaruhusu makafiri wa kishia kwenda kuhiji alafu wanawakataza ndugu zao wa Qatar kisa tu wanaunga mkono makundi ya kigaidi ni upotofu uliomkubwa sana na watakuwa na dhima ya kujibu mbele za Allah. Hii ni dini na sio siasa
Na wewe una matatizo; kwani Shia hawaruhusiwi kuhiji maeneo hayo? Mbona mnapenda sana utengano hata ninyi kwa ninyi?
 

SDG

JF-Expert Member
Feb 28, 2017
7,652
2,000
_20170611_091632.JPG

Saudia pia wamepiga marufuku jezi za Barca zenye logo ya Qatar Airway.Kuhusu zuio la waumini wa kiislam toka Qatar kwa sababu za kidunia naona Saudia wamepotoka kabisa kabisa.Kama kungekuwa na magonjwa ya mlipuko Qatar sawa wangewakataza lakini sababu za kisiasa!!Daunia inamshangaa Saudia maana hakuna jambo kunwa kivile lililozuia uhusiano baina yao.Na pia amemshawishi Somalia ila amemgomea amemwambia yeye yupo neutral.Kwa mwenye akilo lazima unabaki kushangaa na kujiuliza inakuaje?
Screenshot_20170611-103519.png
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom