Satellite dish and receiver for highest bidder.

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,159
Wanabodi, nina satellite dish na receiver yake kwa yeyote anayehitaji. The following are specifications:

DISH:
Dish husika ni la futi nane. Si haya madebe, bali ni very strong. Hata hivyo lina hitilafu kubwa mbili. Hitilafu ya kwanza ni kwamba sehemu kidogo limetoboka kutokana na kupigwa mvua. Lakini tatizo lingine ni stand. Mwenyewe nilisafiri na mtu ambe nilimwacha alikuwa careless, matokeo yake akaliacha dish chini huku stand yake ikitafunwa na mchanga. Ingawaje miguu yake yote ni mizima, lakini ring la chini linalotumika kama kitako limekwisha kabisa.

RECEIVER.
Receiver na remote yake vipo vizima kabisa. Receiver yenyewe ni Gulf Star Digital Satellite Receiver GS 9500.

BEI.
BIDDING.
​
ADVICE: Hili dishi ni kubwa sana, so kama mtu analihitaji anatakiwa kuwa na usafiri wa kueleweka.
 
Dishi likishatoboka alina deal,receiver yako upgrade ya software ni tatizo
 
Lingekuwa dish la C band la 10ft la bati au dish la 8ft la ku ningekutafuta ndugu. nahitaji dish moja kati ya hayo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…