Sasahivi wanaume tunaheshimiwa

Nachoona tu wanaume sasa wanajifanya nao hapa kazi tu, wanashinda nyumbani weekend na kuangalia mambo ya nyumbani
 
ha haha tegesha hizo kengele huna pesa halafu useme unaheshimiwa
 
Ukiona mwanaume unadharauliwa na mwanamke ujue mwenye tatizo siyo mwanamke ni wewe mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…