sasa wimbo unasema "um a single lady"...ww kidume unakata mauno kwenye stage..

lugha gongana tu. Mnakumbuka enzi za dedication kwa bebi vijana wa siku hiz naona huu ubunifu hawana.
 
bagah nimecheka saaaana kaka....afadhali tuelimishine kibishibishi hv....safi saaana..wala tusikasirike ni vitu vya muhimu kueleewa...ila demu akitaka ucheze nae iakuaje BAGAH?????
 
bagah nimecheka saaaana kaka....afadhali tuelimishine kibishibishi hv....safi saaana..wala tusikasirike ni vitu vya muhimu kueleewa...ila demu akitaka ucheze nae iakuaje BAGAH?????

Baku nadhani wengi wetu tunachaza mdundo...
maana hata prakatumba ukiniambia ina maana gani cjui..
bt i feel like shaking...u know!
ila machache nnayoyajua cthubutu kucheza hata kidogo...
aise first lady wangu akitaka tucheze itakua ngum...akacheze na masingo lady wenzie...
 
lugha gongana tu. Mnakumbuka enzi za dedication kwa bebi vijana wa siku hiz naona huu ubunifu hawana.

dedication ilikua tam aise...
japo unaweza ukatupiwa likitu la msiba...sympathy hahahahaaa...
 
Bilz huwa panaboa sana cku mingne. Masharobaro weng na masta duu. Weng wanaojfunza clubing ndo hujazana mle na maisha.
Panakera.
Mi niko savannah napata raha bila karaha. Watoto watoto huku hawajapamudu.

utaratibu wa coupon ndio umekuvutia nini hapo savanna?
 
Walio wengi wanacheza kwa kufuata mdundo na siyo msanii anaimba nini kwani hata kama ungekuwa wa kiswahili bado wangecheza tu, mfano halisi kuna watu wanacheza taarifa ya habari hawa utawaelewa je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…