Nakuomba pmKapicha tu Mi nasubiri
[emoji126]Nakuomba pm
unamtafuta your wife humu?kumbe ushaoa!!nimerudi tena kumtafuta my wife katika jukwaa hili.
Sichagui sana ila lazima awe maji ya kunde na mwembamba kidogo.Mengine ni majaliwa
Nawasilisha
Picha muhim sana maana mmh reception nayo iwemo iwemo [emoji4] [emoji4] [emoji4]Wakuu heshima zenu.
Kijana wenu bàada ya kupata mchango was mawazo yenu; nimeona sasa nimepata mwanga no namna gani ntaishi kwa hali yeyote ile.Ila niwashirikisheni kitu ni kuwa nimerudi tena kumtafuta my wife katika jukwaa hili.
Sichagui sana ila lazima awe maji ya kunde na mwembamba kidogo.Mengine ni majaliwa
Nawasilisha
Hapana, nategemea mke wangu atokee jfunamtafuta your wife humu?kumbe ushaoa!!
mi handsomePicha muhim sana maana mmh reception nayo iwemo iwemo [emoji4] [emoji4] [emoji4]