kanganyoro
Senior Member
- Jun 22, 2011
- 127
- 33
Baada ya Mtia nia Lowasa kukatwa katika harakati zake za kugombea urais wa JMT sasa ni zamu ya wapambe wake wakubwa kukatwa na hasa Hussein Bashe ambaye inasemekana atagombea jimbo mojawapo Mkoani Tabora!
Kama Lowassa siyo mtu wa kinyongo tutamwona Nape akiendelea kupeta!
Wasomali Tabora hawatakiwi tena waende wakagombee mogadishu
Hakuna mwenye huo ubavu, mtandao wa Lowassa ni mkubwa kuliko wa JK. Hata hivyo kwa sasa ndio tunafanya kazi maradufu zaidi ili kuwatia watu wetu kwenye system. Mapambano bado yanaendelea!
tena huyu jamaa namwonea huruma sana kwani waliemkata boss wake wapo mpaka magufuli akiingia ikulu ndo mwenyekiti anachaguliwa mwingine
Chama kitaanza na wenyeviti 'waasi'Hakuna mwenye huo ubavu, mtandao wa Lowassa ni mkubwa kuliko wa JK. Hata hivyo kwa sasa ndio tunafanya kazi maradufu zaidi ili kuwatia watu wetu kwenye system. Mapambano bado yanaendelea!