H Haki ni haki Member Joined Dec 17, 2012 Posts 60 Reaction score 11 Jul 11, 2015 #1 Kwa salsa Cdm imeongezewa nafasi ya kuingia ikulu
share JF-Expert Member Joined Nov 22, 2008 Posts 6,063 Reaction score 10,476 Jul 11, 2015 #2 Ulikuwa hajui!
Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,479 Jul 11, 2015 #3 wafuasi wengi wa lowasa tegemeo lao lililobaki ni chadema tu. ni muda wao sasa kuwaaadhibu ccm kwa kuchagua ukawa.
wafuasi wengi wa lowasa tegemeo lao lililobaki ni chadema tu. ni muda wao sasa kuwaaadhibu ccm kwa kuchagua ukawa.
Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,552 Jul 11, 2015 #4 Acha tupeleke vilio Lumumba, Membe hawezi kusimama na Dr.Slaa hata kwa sekunde moja iwe kwa hoja ama kwa box la kura
Acha tupeleke vilio Lumumba, Membe hawezi kusimama na Dr.Slaa hata kwa sekunde moja iwe kwa hoja ama kwa box la kura
N NCHAGWA JOSEPH JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 802 Reaction score 226 Jul 11, 2015 #5 Ccm wakae wale limao hatuwahitaji ndani ya ukawa.
A adolay JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 12,102 Reaction score 14,496 Jul 11, 2015 #6 Jaman leo mkubwa wangu Pasco vipi?
samaki2011 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2013 Posts 1,775 Reaction score 469 Jul 11, 2015 #7 wale misukule wa lumumba kama wamemwagiwa maji vile siwaoni wakilopoka nimejaribu kupitia thread zote siwaoni
wale misukule wa lumumba kama wamemwagiwa maji vile siwaoni wakilopoka nimejaribu kupitia thread zote siwaoni
L lulanyaga New Member Joined Jul 11, 2015 Posts 2 Reaction score 1 Jul 11, 2015 #8 huu. ni mwaka wa ukawa
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,456 Reaction score 1,569 Jul 11, 2015 #9 Mwaka wa ukawa kivipi? kama kugombea sawa ndio wanajaribu lakini kushinda subutuuuuuuuuuuuuuuu
Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,945 Reaction score 5,082 Jul 11, 2015 #10 Kila nikifikiria NEC na mwenendo wake, UKAWA na jinsi walivyokaa kimya na sula la BVR, Sheria mpya ya Mtandao, Goli la mkono la Nape, Jeshi la Police lilivyo ongezewa vifaa vya kutosha. Siamini kama UPINZANI utaing'oa CCM mwaka huu.
Kila nikifikiria NEC na mwenendo wake, UKAWA na jinsi walivyokaa kimya na sula la BVR, Sheria mpya ya Mtandao, Goli la mkono la Nape, Jeshi la Police lilivyo ongezewa vifaa vya kutosha. Siamini kama UPINZANI utaing'oa CCM mwaka huu.
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,998 Jul 11, 2015 #11 Kwani cdm wamejitoa ukawa?