Huyu mama kaapania kumng'oa mjaluo wa kisumu, inaoneka anaweza kufanikiwa 2012
Hana lolote huyo mama; hata kuvaa designer kajifunza wakati wa kampeni...ni mpiga debe huyo...
Ni mpiga debe lakini kuna anayomharibia kisiasa Obama kwa kampeni chafu anazofanya, unajua hata slaa anapiga debe ingawa wanaweza kuwa katika perspective tofauti ila impact kisiasa zinaonekana, hivyo do not underrate her in politics
Sarah Palin Blasts Obama's Handling Of Egypt
02/ 6/11 02:50 AM
WASHINGTON - Sarah Palin says the Obama administration must tell Americans what it knows about who will be Egypt's next leader.
In a Christian Broadcasting Network interview released Saturday, the 2008 vice presidential candidate says the administration should level with the American people on what it knows about the Egyptian crisis.
Egyptian President Hosni Mubarak wants to rule until September elections.
Palin said the U.S. must find out who is "behind all the turmoil" and that "we should not stand" for a government led by the Muslim Brotherhood.
Referencing a 2008 campaign ad, Palin said Egypt was the White House's "3 a.m. phone call" but it "went right to the answering machine."
She says the U.S. must say whom it stands with, "and we do not have all that information yet."
NB: Ina maana huyu Sarah Palin hajui chanzo cha wamisri kutaka kumng'oa Mubarak? Kaaz kwel kwel!
Huyu mama kaapania kumng'oa mjaluo wa kisumu, inaoneka anaweza kufanikiwa 2012
Huyu mama kaapania kumng'oa mjaluo wa kisumu, inaoneka anaweza kufanikiwa 2012
Are you Serious? Unless you don't know what you are taking about, let me tell you this she is a liability to the republican party and the Obama camp will be happy if she gets nominated. She doesn't have a clue of what she is talking about. You have to understand that she is mostly supported by the teabaggers who are the minority.
Huyu mama kaapania kumng'oa mjaluo wa kisumu, inaoneka anaweza kufanikiwa 2012