Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,612
Sijaona cha ajabu cha ziada kihivyoo labda umbili kimo wake tu!.6Sanchoka azidi kubreak internet kwa kutupia vitu hivi mtandaoni. Katawala kote kitu ambacho kimefanya yeye kuwa gumzo na kuwafunika wote Vera Sidika na Huddah Monroe. Sasa hivi anafanya kazi zake South Africa na Nigeria yaani Tanzania ananusa tu.
Yupo kibiashara zaidi mara model, mara anatwerk, mara picha za utupu mtandaoni!
Wazungu wanasema "Sanchoka gluteus maximus is positively bigger than Risper Faith and Vera Siidka’s combined and possibly every man in East Africa knows her; her name is Sanchoka a model from Tanzania whose behind is why booty songs are made."View attachment 484219
Video:Mwanadada Vera:
View attachment 484218
View attachment 484217
View attachment 484220
Nimependa post yako.....!Huyu demu nakumbuka nilimtangulia 2yr wakati tunasoma pale ifm na tuliishi wote pale nbc club hostels. Nimoja ya mfano wa beauty with no,brains. I aint sure kama aligraduate n if she did bas ni lower than lower second. All in all,am glad she's found where she fits in this world. Atumike for years then akishtuka dunia sio njema sana it would be too late. Maadili siku hizi ni theoretical concept kwa hivi vi binti vyetu vinavyochipukia
Ishu ya akili ameishaivuka Sababu amemaliza chuo.Alichokisoma chuo hakijamsaidia lakini kitu anachokifanya sasa kiko nje ya maadili yetu lkn sio kukosa akili.Anatumia fursa aliyonayo kutoka.Ni fani inayowatajirisha wasichana wengi ktk nchi nyingine zilizoendelea lkn ni fani iliyo nje ya maadili yetu.Wanawake wenye miili ya aina ya sanchoke huzaa watoto wenye upeo mkubwa wa kiakili.Mwanamke akikosa akili hutesa viungo vyake vya siri
Mkuu hilo tako ni Tangazo la BiasharaSasa hayo makalio kazi yake nini hasa?
....Ustaadh Kipoozeo kwa hakika hakukosea kwa kuziita meena za Allah..Sanchoka mzuri lakini.
Awali ya yote hii imebeba comments zote mkuu..agreed with you!Mwanamke akikosa akili hutesa viungo vyake vya siri