Sanaa ya uchongaji

Hao sijui wamechukua muda gani kumaliza hiyo kitu.

Maana kuna sehemu nilikuwa napita njia zaidi ya mwaka huyo mzee ukipita anachonga tu ila vilikuwa vinyago vidogo vidogo vya watu kwenye mti mmoja.
 
Kuna Babu yangu mmoko yuko ShyTown Busanda anaitwa Nkhani,,Anapigaga sana izi mbanga,Nahisi kipaji changu nilirithi kwake coz ni mchoraji pia kama mimi..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…