[emoji23] mkuu unauhakika au ni story tu!Huyu Samuel Etoo nasikia hapa bongo warembo wetu walimuacha kodoo hadi akaibuka nao akamsahau na huyu namba wani wake.
Chezea mapenzi ya wabongo wewe na maarifa ya kukata viuno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhakika kabisa. Ilitokea walipokuja kucheza na Taifa stars. Wewe huwajui warembo wa bongo na mitego yao kwa wageni.
[emoji1] [emoji1]Nawaza tu wakati ukifika nitakaavyo andikiwaga kastory.
"nilimkutaga kolomije kibao cha shule anauza vitumbua"
Mboni machui au?Huyu ameacha mke bongo aje amchukue
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Nilithani unamanisha God bless Lema auGob bless them.
Nawaza tu wakati ukifika nitakaavyo andikiwaga kastory.
"nilimkutaga kolomije kibao cha shule anauza vitumbua"
Wabongo walijipeleka naye akatimiza uanaume wake. Mmoja kamzalisha kabisa. Harafu ni mrembo ile mbaya (kwa vigezo vyangu)Huyu Samuel Etoo nasikia hapa bongo warembo wetu walimuacha kodoo hadi akaibuka nao akamsahau na huyu namba wani wake.
Chezea mapenzi ya wabongo wewe na maarifa ya kukata viuno.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha noNilithani unamanisha God bless Lema au
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app