Wapo wanaohama kutoka flagship za Oppo, Vivo na ZTE kwenda Samsung. Watashangaa kutokuta chargerMimi sijasema mbaya Boss...embu fikiri anayenunua earpod ya laki 3 akakaa nayo miaka na anayenunua za elfu 80 kila miezi 6 nani anasave? Hapo sijaangalia quality ya bidhaa na more advanced features.
By exprience mtu anayenunua Simu hatoki simu ya laki 2 akahamia milioni 2, katika 100 mteja huyu ni 1 na huwa wanatambo sana so swala la kununua huwa sio shida zake
Watu hupanda ngazi na kufika milions
Na cha ajabu sasa hata baadhi ya simu za Aseries mbona hazina chaji wala earphones pia
Ninauza simu mwaka wa 7 huuu Kaka naongea kwa exprience yangu sokoniWapo wanaohama kutoka flagship za Oppo, Vivo na ZTE kwenda Samsung. Watashangaa kutokuta charger
Usije uka-assume simu ni Samsung tu. Zipo simu nyingi tu za bei ghali
Umedanganywa vibaya sana. Futa hayo mawazo akilini mwakoSitumii earpods wala earphones. Natumia speaker ya simu
So sina experience. Nimerefer kwa malalamiko tu ya watu
Hiyo simu ulinunua sh ngapi? Ukicompare hapo, huwezi jibahilia kuchukua chaja nzuri kwa simu yako.Charger original ya Sony Xperia 1 IV ya 30W inauzwa kwa 50ยฃ. Hii bei ni kubwa kwa charger ya 30W
Hata mimi aisee nilijikuta navibanjua vile vispika hata nione basi waya umeachia lakini wapi[emoji16][emoji16]. Unajitahidi sana kutunza earphones ila tu ghafla sikio moja linaacha kupiga. Hizi za bluetooth sijawahi kuzipenda kwa kweli huwa natumia nyumbani tu.Mkuu wewe ni kama mimi sipendi za bluetooth kabisa, ninazo kama case mbili ila sizitumii, nikanunua za nokia original nmezitunza sana tahamaki nikazisahau pale bandarini wakati wa kusubiri usafiri.
Nikaona isiwe tabu nikanunua nyingine original za vietnam za waya lakini type-C dah juzi naona sikio moja halipigi nimegoma kukubali nazifumua nitizame waya umekatikia wapi niziunge sitaki kabisa adha ya kucharge earphones.
Yaaani kaingizwa chaka la chatuUmedanganywa vibaya sana. Futa hayo mawazo akilini mwako
Kwani mkuu hawa jamaa haya mabadiliko ya kuzifanya earphones kuwa za type-C walishauriana na nani? mimi nahisi pale kwenye mic ndio kuna tatizo maana kwingine kote kuko sawa halafu earphones zenyewe nilinunua ghali sijui nilikosea wapi.Hata mimi aisee nilijikuta navibanjua vile vispika hata nione basi waya umeachia lakini wapi[emoji16][emoji16]. Unajitahidi sana kutunza earphones ila tu ghafla sikio moja linaacha kupiga. Hizi za bluetooth sijawahi kuzipenda kwa kweli huwa natumia nyumbani tu.
Hapa nataka nikipita kkoo nikanunue tena za wire. Changamoto nayokutana nayo hapa ni kwamba port hiyohiyo ndio ya kuchaji simu sasa mda mwingine unacheza games chaji inakaribia kuisha inabidi uchomoe earphones port itumike kuchaji na simu zetu hizi refurb mateso matupu. Hizi tech mda mwingine zinaongeza stress tu [emoji16]
Nimekuquote huko juu ukipita unijibu.Yaaani kaingizwa chaka la chatu
Pin kama hiyo?Haya naona wewe ni mdau earpods za samsung zisizo za kutumbukia maskioni original napata wapi? yaani ziwe style hii iliyokaa kizamani ndio nzuri.View attachment 2599067
No hiyo style ya vya kuwekea maskioni sijui ndio pods zenyewe, yaani sitaki zile za kutumbukia zenye kiplastic nataka za kuwa juu kama hizo haziingii mpaka ndani.Pin kama hiyo?
Duh .. wewe unachotaka ni kubishana na kuleta ushabikiUmedanganywa vibaya sana. Futa hayo mawazo akilini mwako
Vidogo kwako mkuu, utajiskiaje uziwe gari bila tank la mafuta ili ukachongeshe lako? ๐Wenzio wanafanya mabadiliko wakiamgalia na soko jinsi linavyoenda
Kipindi hicho Samsung kuweka earphone jack kwenye simu zao ilikuwa ni idea nzuri kwasababu wireless pods, earbuds zilikuwa bado hazijakaa vizuri sokoni.
Charger nayo ni ya kuiletea complain kweli?
Watu wanaangalia mazingira, mitaani miwaya miwaya imekuwa mingi na hii yote kwasababu ya kuzagaa kwa charger.
Hivyo unakuta mtu ananunua simu ambayo imekuja na charger wakati huo charger yake aliyokuwa anaitumia kwenye simu ya zamani bado ipo.
Ni vitu vidogo ila we umevifanya vionekane vikubwa.
We mshamba hizo ni noise cancelling, unataka earphone za kimachinga kwenye flagship phones๐คฃNo hiyo style ya vya kuwekea maskioni sijui ndio pods zenyewe, yaani sitaki zile za kutumbukia zenye kiplastic nataka za kuwa juu kama hizo haziingii mpaka ndani.
samsung Tanzania, TECNO Tanzania , infinix hebu someni hapaMimi ni mpenzi mkubwa Sana wa simu za android na simu yangu pendwa ni Samsung lakini huku tunakoelekea naona kabisa nitaisaliti chama.Sababu ni kuwa Samsung wanaiga vitu vingi Sana ambavyo havina msingi kutoka Kwa kampuni ya simu ya Iphone.
Hivi ni vitu baadhi ambavyo Samsung kaiga kutoka Kwa Iphone na vimeleta mabadiliko hasi Sana kwa watumiaji wa hizi simu za Samsung;
1 Wameiga kuondoa 3.5 mm jack kutoka kwenye simu za Iphone ;
Mwaka 2017 iphone waliondoa 3.5mm jack ya kuingiza Ear phones kutoka kwenye simu zao za Iphone 7. Matokeo yake Iphone walipondwa Sana na watumiaji wake na kukemewa vikali na kupondwa na makampuni ya simu ikiwemo Samsung.Chanzo Cha kuondoa 3.5 mm jack ilikuwa ni sababu Iphone walishindwa kutengeneza kioo full screen huku 3.5mm Jack ikiwepo.Iphone wanadai kwamba waliondoa 3.5 mm jack Ili waweze kutengeneza full screen BIla kizuizi.Kitu ambacho simu za android ilishaweza kutengeneza huku 3.5 mm jack ikiwepo.Tuseme tu android phones ZIPO mbele kiteknlolojia zaidi ya iPhone .
Swali langu ninajiuliza kwanini Samsung waliamua kuondoa 3.5 mm jack kwenye simu zao Kwa kumuiga iPhone wakati wanajua Iphone waliondoa hicho kitu sababu ya kukosa teknolojia ya kutengeneza full screen BIla kutoa 3.5mm jack?
2 Wameiga kutoweka charger na cover za simu kwenye Box la Simu mpya kama wanavyofanya Iphone ;
Nasikitika Sana kuona Samsung wamepata ujasiri wa kupakia simu tu kwenye Box BIla charger Wala Cover kama simu zingine za Android zinavyofanya.Watu wanatoa mamilioni lakini hawapati product zilizokamilika kwenye Box.Ni upuuzi mtupu.
Wakati simu zingine za Android zinajitahidi kuweka Hadi pre installed screen protector na accessories za simu zinazohitajika Sana Samsung wapo busy wanazidi kuziondoa.
Mimi ni mdau wa Samsung lakini hapa niseme tu Samsung wamefeli pakubwa.
Ni ajabu kukuta Flagship phone kama galaxy S23 ultra imekuja tu na USB Haina charger ni upuuzi mtupu tu.
NI BORA NIHAMIE KAMPUNI ZINGINE ZA SIMU MAANA SAMSUNG WAMEBADILIKA KUWA IPHONE SIO WAO TENA.
Shame on you ShameSung
Hawalazimishi ununue Ila utalazimika ununue. Eti kisa Samsung haweku charger kwenye simu ndio usiinunue hiyo simu?As long as tunaendelea kuzitumia hizi gadgets - kelele zetu ni za vyura tu
Labda tuanze kutengeneza zetu
Hawalazimishi tununue
Naona watu wakajiongeza baada ya kuona simu zinakuja na type c bila ya earphone jack port wakaona watengeneze earphones ambazo ni type C moja kwa moja!Kwani mkuu hawa jamaa haya mabadiliko ya kuzifanya earphones kuwa za type-C walishauriana na nani? mimi nahisi pale kwenye mic ndio kuna tatizo maana kwingine kote kuko sawa halafu earphones zenyewe nilinunua ghali sijui nilikosea wapi.