Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,109
Mkuu Kwahiyo Simu Ina charger watt 53 Lakini huikuti kweli box unauziwa separate ni kitu Cha Kawaida.Je Kwa waliopoteza charger za matoleo yaliyopita ya hizo simu watatolea wapi charger.Wenzio wanafanya mabadiliko wakiamgalia na soko jinsi linavyoenda
Kipindi hicho Samsung kuweka earphone jack kwenye simu zao ilikuwa ni idea nzuri kwasababu wireless pods, earbuds zilikuwa bado hazijakaa vizuri sokoni.
Charger nayo ni ya kuiletea complain kweli?
Watu wanaangalia mazingira, mitaani miwaya miwaya imekuwa mingi na hii yote kwasababu ya kuzagaa kwa charger.
Hivyo unakuta mtu ananunua simu ambayo imekuja na charger wakati huo charger yake aliyokuwa anaitumia kwenye simu ya zamani bado ipo.
Ni vitu vidogo ila we umevifanya vionekane vikubwa.
Nokia kweli mkuu hakuna midrange za Nokia zinazozidi midrange za TECNO na INFINIXMkuu hizi kampuni zipo kwa ajili ya kutengeneza faida,apple baada ya kutoa Jack ile 2021 iliingiza 12$ billion kwa airpods pekee Hapo Samsung nap watataka share Yao , mda mwingine Bora kufata trend si unaona kampuni ya Nokia ilivo kuwa inagomea mabadiliko inavoteseka now
Na kwa new user nao wafanyaje?Wenzio wanafanya mabadiliko wakiamgalia na soko jinsi linavyoenda
Kipindi hicho Samsung kuweka earphone jack kwenye simu zao ilikuwa ni idea nzuri kwasababu wireless pods, earbuds zilikuwa bado hazijakaa vizuri sokoni.
Charger nayo ni ya kuiletea complain kweli?
Watu wanaangalia mazingira, mitaani miwaya miwaya imekuwa mingi na hii yote kwasababu ya kuzagaa kwa charger.
Hivyo unakuta mtu ananunua simu ambayo imekuja na charger wakati huo charger yake aliyokuwa anaitumia kwenye simu ya zamani bado ipo.
Ni vitu vidogo ila we umevifanya vionekane vikubwa.
Na mbaya zaidi unalipa hela nyingi zaidi ya uliyokuwa unalipa mwanzo kununua simu.Mkuu Kwahiyo Simu Ina charger watt 53 Lakini huikuti kweli box unauziwa separate ni kitu Cha Kawaida.Je Kwa waliopoteza charger za matoleo yaliyopita ya hizo simu watatolea wapi charger.
Kwahiyo Samsung S24 ultra tutachajia charger Za S22 ultra huoni ni upuuzi huu.
Just imagineSo next wanaondoa nn? Maana wanapunguza kimoja kimoja nahisi simcard, volume na poweroff batan ndo vinafuatia kuondolewa
Wanataka ununue separatelyNa kwa new user nao wafanyaje?
Sijawahi tumia iphone, nikitaka kununua iphone mpya napata wapi charger?
Accessories za simu ni rahisi kupatikana na ziko very affordableMkuu Kwahiyo Simu Ina charger watt 53 Lakini huikuti kweli box unauziwa separate ni kitu Cha Kawaida.Je Kwa waliopoteza charger za matoleo yaliyopita ya hizo simu watatolea wapi charger.
Kwahiyo Samsung S24 ultra tutachajia charger Za S22 ultra huoni ni upuuzi huu.
Sokoni accessories mbona zipo kibao?Na kwa new user nao wafanyaje?
Sijawahi tumia iphone, nikitaka kununua iphone mpya napata wapi charger?
Utapata dukani.Na kwa new user nao wafanyaje?
Sijawahi tumia iphone, nikitaka kununua iphone mpya napata wapi charger?
Waondoe spika na mic tutumie earphonesJust imagine
Samsung Galaxy S23 Ultra ina hadi 1TB storage na bado watu wanataka sehemu ya kuwekea memory card [emoji28][emoji28]
Wakiondoa SIM Card slot basi su itakuwa inatumia eSIM technology
Wakiondoa volume button basi simu zitakuwa zinasense pressure ukikandamiza kwenye edge na hivyo sauti itaongezeka au kupungua bila shida. Hata Xiaomi Mi Mix Alpha inafanya hivyo, haina volume buttons kabisa
Power off button wakiiondoa labda watatumia fingerprint scanner kama sehemu ya kuwashia simu, au kuwasha simu kwa kuiambia tu "Turn on"
Natamani sana technology ifikie huko ndio maana naipenda Sana Xiaomi Mi Mix Alpha [emoji116][emoji116]View attachment 2598538View attachment 2598540
Hiyo sony ni poor design, a phone from the past, 2015 design in 2023Kama unataka flagship yenye 3.5mm Jack basi nunua Sony Xperia 1 IV
Simu hii ina 3.5mm jack, ina SD card slot kwa hiyo utaweka memory card kama kawaida, inakubali 120Hz refresh rate. kwenye apps nyingi, ina speaker yenye base, ina clean software pia, kama wewe ni fan wa Stock Android.
Pia simu hii inakuruhusu kufanya livestream YouTube hata kama hujakidhi vigezo kama vile idadi ya subscribers, haijalishi Una subscribers wangapi kwenye simu hii utafanya livestream, ina kila unachokitaka
Ila kwenye suala la accessories itabidi Tu ukubali kwa sababu makampuni yanadai yanalinda mazingira. Kama unataka flagship yenye accessories walau basi nunua flagship za Xiaomi, Ila huko nako utakosa 3.5 mm jack na SD card slot.
Kwa mfano ukinunua Sony Xperia 1 IV unakuta simu Tu ndani ya boksi, unalazimika kununua 30W Sony charger kwa bei ya 50ยฃ
Binafsi naona kitu ambacho Samsung wanafanya ni Sawa tu. Kwenye S23 Ultra umewekewa hadi stylus pen, inatosha
Accessories tafuta mwenyewe.
Kwa sasa Sony ndio anajali kuweka 3.5mm jack kwenye flagship zake
Hii ni Sony Xperia 1 IV View attachment 2597560View attachment 2597561View attachment 2597562View attachment 2597563