Samsung wataiua kabisa Note 7

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,694
Reaction score
2,588
Kampuni ya Samsung imetangaza kwamba itazifanya simu zote za Note 7 ziache kufanya kazi wakati hazijachomekwa kwenye charger.

Watafanya hivyo kwa kutoa software update amabayo itaji download yenyewe.
Hii ni kutokana na simu hizo kuwa na tatizo la kuwaka moto kutokana na matatizo ya battery na hivyo sio salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…