Jamani kariakoo akuna simu wala tablet orijino ni utapeli tapeli..nimefanya pale elreserch kama mtu ninaetafuta maduka ya ksupply mzigo nimejua mengi sana.....yan.watu wanauziwa vitu fake vingine havina hata brand name kwa bei za juu....ndani ya nusu saa duka moja wateja si chini ya watano wanarudi na simu zao zimebuma...
nunueni simu nje ya kariakoo