Duh basi hizo zenu hakika zitakyuwa na matatizo maana yangu niliiroot na inafanya kazi kama kawaida.
IMEI ipo na inasoma kama kawaida.
Ukiroot inaondoa LICENCE na simu itakuwa imeandika MODIFIED kwenye Device status.
Kingine ni kuwa waweza kuiUNROOT muda wowote ule utakao
Sababu ya MIMI kuroot ni kuwa simu yangu S3 ilikuwa inatumia battery sana kwenye standby mode so baada ya kuroot inakaa masaa 34 hadi sasa sijaweka chaji hata kidogo ila zamani ilikuwa ndani ya masaa mawili inakata kabisa.
I did it ila nilikuwa naogopa sana maana simu ilikuwa na siku saba tu but it worked