Kwanini ununue cm used na wewe? nenda kariakoo around about ya kwenda msimbazi na mmnazimmoja, kama unaangalia barabara ya msimbazi, barabara ya mtaa wa kwanza upande wa kushoto kuna duka kubwa la "MWANYIRO" upande wa kushoto, kuna simu orijinal tupu, hiyo Samsung S2 ni 350,000 na garantee juu, juzi nilipita pale nikanunua (Samsung Tab Pro 10.2 kwa Tsh.1,250,000)