Samsung original

Nkana Young46

Member
Joined
Dec 27, 2022
Posts
11
Reaction score
13
Habari wanaJF, kama kichwa kinavyojieleza; kutokana na mijadala mbalimbali juu ya samsung original na copy je ni njia ipi itumike kuangalia kama simu ni copy au original kwa simu za samsung.
Kwenu wanaJF
 
Ingia sehemu ya sms andika samsung.com afu fungua link
 
Mpaka uje uuziwe simu fake kwa dunia ya sasa ni wewe utakuwa umetaka tuu... Hasa hizi Samsung, labda iphone..

Cha msingi kanunue simu sehemu zinazoeleweka..... Ukitumia shortcut probability ya kuuziwa fake ndo unaongezeka..
 
Kwa sasa game imebinuka,ni rahisi kushikishwa 14,15 fake kuliko samsung fake
 
Habari wanaJF, kama kichwa kinavyojieleza; kutokana na mijadala mbalimbali juu ya samsung original na copy je ni njia ipi itumike kuangalia kama simu ni copy au original kwa simu za samsung.
Kwenu wanaJF
Njia nyengine download program kama Cpu Z playstore kisha angalia hardware za simu husika halafu compare na specs za online.

Mfano umenunua S23 halafu cpu z inaonesha ina Mediatek Helio P22 wakati Gsmarena inaonesha ina Snapdragon 8 gen 2 ujue hio ni feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…