A Atlantis Voyager JF-Expert Member Joined Jan 19, 2018 Posts 371 Reaction score 504 Apr 17, 2020 #1 Unashindwa ku play movies Toka kwenye external hard disc . Naomba utaalamu na ushauri. Nafahamu kwamba tv niliyonayo ni ya zamani, cable hazisomi external, software upgrade inadunda. Sijui nakwama wapi Sent using Jamii Forums mobile app
Unashindwa ku play movies Toka kwenye external hard disc . Naomba utaalamu na ushauri. Nafahamu kwamba tv niliyonayo ni ya zamani, cable hazisomi external, software upgrade inadunda. Sijui nakwama wapi Sent using Jamii Forums mobile app