Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
Kumbuka hyo ni brand new unafungua mwenyewe kwenye boksi lake tena ni led bora hata ingekuwa lcd kwa bei hyo huwez kupata.Kaka mi nina laki nne taslim kama utanifikiria na mimi nisaule majicho
Kumbuka hyo ni brand new unafungua mwenyewe kwenye boksi lake tena ni led bora hata ingekuwa lcd kwa bei hyo huwez kupata.
Naomba kuuliza kuwa Kati ya SUMSUNG LED 32 LG 32 ipi bora na gharama interm of price nA Je led 32 hiyo waiuza wapi??