Samsung laptop

SURN

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
319
Reaction score
36
Jaman waunguana naomba mnisaidia kama samsung laptop zipo pouwa maana naona zinauzwa kwa bei pouwa(550,000).naomba kujua kama zipo pouwa kwa wale ambao walisha wai kui2ma.kama hazipo pouwa je kuna laptop gan ambayo ni pouwa na bei inaendana na hiyo au zaid kidogo
 
be specific,samsung wana brands nyingi za laptop...
 
unazungumzia samsung N150? maana nilinunua kwa bei tajwa hapo juu. kama ni hiyo perfomance yake ni average, iko some how slow kwenye comman,. inachukua muda kufungua program ila inatunza vizuri charge unaweza tumia up to 4-5 hrs when full charged provided hupigi miziki au kucheck movie
 
Samsung AK 300_ nimesahau baadh ya namba mwishoni.lakn ina RAM 2GB.HARD DISK 320GB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…