nicheki kwa namba 0764014285Contact yangu ni 0712220207 au 0754 535 507
Umeshauza mkuu au bado unayo nikupe hio helaContact yangu ni 0712220207 au 0754 535 507
Niuuzie kama bado unayoTatzo min jau sana hizo
Nnayo yangu moja nimehangaika kuuza mpaka 150000 lakin hakuna wateja.
Nakushaur bora uhifadhi tu ama umgawie nduguyo.otherwise watu watakukera tu humu maana Laptop kubwa zinaanza laki2 kwenda juu na zimejaa sanaaa