Samsung j7 touch

Darius Tanz

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
461
Reaction score
137
Habari wakuu,simu yangu ya samsung j7 neo baada ya kuupdate software touch haifanyi kazi,naomba ushauri nifanye nini irudi kama zamani?
 
Habari wakuu,simu yangu ya samsung j7 neo baada ya kuupdate software touch haifanyi kazi,naomba ushauri nifanye nini irudi kama zamani?
Hilo tatizo lipo kama huna ujuzi wa simu means sio fundi simu nakusahauri upeleke kwa fundi afix hilo maana hilo tatizo ni bugs zilizopo katika toleo la Oreo kwa model kama j730gm na nyingine katika J7 series
Ila kama una ujuzi tafuta Twrp ya hiyo simu (TeamWin Recovery Project ) uflash kisha download firmware ya kufix hiyo kitu ambayo ipo zipped utaflash kwenye recovery mode ambayo ndo ile twrp ya hiyo sim uloflash awali
 
Jaribu kufanya maombi ya kufunga kwa siku tatu
 
Habari wakuu,simu yangu ya samsung j7 neo baada ya kuupdate software touch haifanyi kazi,naomba ushauri nifanye nini irudi kama zamani?
Duuh itakua nimekoswa koswa na mm ... nna J6 niliupdate ..ila wakati inafanya Installation ikamaliza ilivyorestart ikasema Firmware update failed..

Nakushauri ukaweke fail la Os iliyokuwepo mwanzo
 
Unaweza kunisaidia fundi unayemfaham anisaidie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…