Duh pole, sana! Mungu akupe wepesi ktk shida yako...ikiwezekane akupe njia mbadala ya kuipata hiyo pesa.
Mwenye pesa jamani afanye kumsaidia...hiyo deck na TV kwa 300k kweli ana shida...sema wakati wa Magu huu , hata iyo ndogo ni sheeda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.