Labda kwenye spikaHiyo touch screen iko wapi hapo
Hiyo touch screen iko wapi hapo
Sometimes tunamlaumu tu Magufuli ila vyuma kukaza tunataka wenyewe,sasa tangazo liko nusu kama sketi ya Sepenga unataka wateja tujipangie bei.
Watakuja mkuu wasubiri huko huko[emoji1] [emoji1]Njoo inbox utajua bei ndiyo maana kuna namba ya simu pia
Na hili tangazo ungeliweka inbox ingependeza.Njoo inbox utajua bei ndiyo maana kuna namba ya simu pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sometimes tunamlaumu tu Magufuli ila vyuma kukaza tunataka wenyewe,sasa tangazo liko nusu kama sketi ya Sepenga unataka wateja tujipangie bei.