Samsung galaxy s4 clone mpyaaa!!

Wengi wanasema mpaka K/koo na huko kuna Clone nyingi, hivyo unapaswa kuwa makini. J'4 nilizunguka maduka ya simu ya Posta kama 6 au 7 hivi cha ajabu ukimtamkia S4 Clone watakwambia hawaifamu, na ukisema ya kichina watakwambia hawana. Kwa kukusaidia mwone Chief Mkwawa ana jamaa yake anaziuza zikiwa mpya kabisa ndani ya Box lake.
 

karibu mhehe mwenzangu chief mkwawa unisaidie huyo jamaa maana wengi wanaziuza kwa bei kubwa kweli
 

Mkuu watu wa posta ni wezi, wanajifanya hawazijui clone lakini usipokuwa makini wanakuuzia clone kwa bei ya original
 
Clone ndio fake au, tueleweshane jamani

Yes, ila ukiangalia kwa macho na mambo madogo madogo yaliyondani huwezi kutambua kama ni feki. Nenda Youtube uiangalie, huwezi amini kama ni feki. Inaitwa 'Samsung Galaxy S4 Clone'.
 
Yes, ila ukiangalia kwa macho na mambo madogo madogo yaliyondani huwezi kutambua kama ni feki. Nenda Youtube uiangalie, huwezi amini kama ni feki. Inaitwa 'Samsung Galaxy S4 Clone'.

okay nimekupata mkuu nashukuru.
 
300000 unachukua?

cheki na mkwawa kama hana njoo nikupe hii ila bei haipungui maana ukipewa hii na s4 yenyewe utakesha kutafuta tofauti, air gesture ndio watu wanakimbilia na hii inakimbiza kama kawa.
 
Kwa laki tatu mimi ninazo ukiitaji ni pm picha zake izi apa
 

Attachments

  • 1386960328466.jpg
    46.1 KB · Views: 161
  • 1386960346025.jpg
    52.8 KB · Views: 169
  • 1386960369119.jpg
    49.7 KB · Views: 157
  • 1386960411999.jpg
    69.1 KB · Views: 140
  • 1386960484697.jpg
    56.3 KB · Views: 132

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…