Inajicharge yenyewe cjui inakuaje? Nikitoa kwenye chaji bado inaonyesha ile alama ya charging, mwenye utaalam anisaidie plse, cm ni original, c ya kichina

Mkuu hizo S2 plus zinamatatizo sana nami ilishanisumbia kama hivyo na ikanifia,jaribu kubadilisha betri.S2 ni smu nzuri sana ila ile ya kwanza sio hizi