Aisee kiongozi issui ya charge ni janga la kitaifa kwanza linachangiwa na network unstable (especialy internet) ukiweka off internet charge inakaa muda mrefu, lakini 99% ya smartphone zote charge ni issue otherwise kama unataka simu ya kukaa na charge siku saba inabidi urudi kwenye simu za tochi uachane na smartphone. Kama unailaumu Samsung Galaxy S2, utaziweza HTC, iphone na Blackberry ambazo ni smartphone, charge hazikai kwa sababu ya application kuwa nyingi sana!
Nina simu ambayo sio smartphone ina kaa na charge 14 days kama vipi ni PM ila ni kupiga cmu na sm tu.
YAANI kama ulikuwa kichwani mwangu, mi nimenunua last week simu haikai na charge hivi ni kwanini? ni galaxy zote ama ni vipi, ningejua ningefanya research kwanza afadhali blackberry mhh
Kwa ufupi galaxy zote ndivyo zilivyo,lkn wanakuanfikia kabisa ktk mfumo wa charge ukisoma utaona muda gani ukiiwacha net on inamalizika,ila ukweli khs charger system zinakuga haraka pamoja na galaxy note 1,hazikuchomewa direct ni za kuchomeka tu na ndio maana zinaungua haraka.