Samsung Galaxy S2 4sale.

Mi nauza yangu kwa 550,000 negotiable...ipo used kwa mwezi mmoja....kwa maelewano zaidi ni pm
 
Weka contact zako faster nifate mzugo
 
Jamani wekeni contact basi tufanye biashara
 
Jamani wekeni contact basi tufanye biashara
Omba namba ya simu kwa pm maana siku hizi ukiweka number ya simu ni sawa na umeandika jina lako wakati watu wanatumia majina bandia humu.
 
Nina 300000 mpesa hapa. niambie nikutaute kama upo dar hapa.
 
muuzaji ... nakushauri ufanye mnada .... anza na bei ya chini let say 250,000 tsh .... halafu watu wapande dau
 
Mi nahitaji kwa anayeuzia simu ya Nokia E61 zile pana kabisa so mwenye nayo ani-pm.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…