Samsung galaxy, online shopping

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
164
Jamani nahitaji kununua samsung galaxy tab online toka china. Naomba mwenye ufahamu juu ya online shopping anisaidie ni website gani ambayo ni reliable coz scammers nao ni wengi siku hizi.
 
Angali ebay kwenye net utapata aina nzuri kutoka America lakini usitegemee china
 
Lete pesa nikuuzie hii ninayo tumia mimi mi p 1000
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…