Jiandaeni kutoboa mifuko,hichi kitu kinatoka kati ya septemba au agosti mwaka huu ,,na inasemekana itakua ya gharama sana kuliko matoleo mengine ambayo samsung wametoa ikiwamo samsung galaxy note 7 ambayo ilikua ikiuzwa kwa USD 700 sawa na sh 1,400,000 . Hii galaxy note 8 inacheza kwenye USD 1,120 sawa na shilingi za kitanzania 2,497,600/-,,duuuuuh!!!.
hizi ndo sifa zake na unaambiwa hizi ni baadhi ya sifa zake muhimu;
The VentureBeat report also mentions the 6.3-inch AMOLED screen with an 18.5:9 aspect ratio, 6GB of RAM, and a camera that features two 12-megapixel lenses. The S Pen stylus will again be included to help distinguish the Note 8 from the 6.2-inch Samsung Galaxy S8 Plus, launched earlier this year.
According to Blass' sources, the Note 8 will have a fingerprint sensor around the back of the device, like the S8 phones, and will be available in black, blue, and gold at launch.
kazi kwenu!!