Samsung galaxy grand prime +

Samsung galaxy grand prime +

My phone hii ndo natumia..
Ila zinashida moja..
Ikibaki hata storage ya mb 200+ inakwambia memory imejaa futaa vitu. Huwez kuona image mpaka ufute.

Hakuna kisicho na kasoro
 
Hivi kwanini mnanunua sm za bei kubwa hivyo ebu pitieni sm za tekno being kawaida ila quality yake balaa

Msikalili
 
My phone hii ndo natumia..
Ila zinashida moja..
Ikibaki hata storage ya mb 200+ inakwambia memory imejaa futaa vitu. Huwez kuona image mpaka ufute.

Hakuna kisicho na kasoro
Ni kweli kabisa,hilo ndio tatizo lake kubwa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom