haina tatizo lolote....ila kuna ear phone imekatikia kwny earphone port so ni issue ya kufunguliwa na kutolewa hicho kilichokatikia....but inapiga mzigo fresh

hiyo simu itakua mbovu tu,hivi kwa nn mnakua na roho zisizo na utu kwa wenzenuuuuu,tunanunua simu hatukai nazo siku mbilio tatu ushaharibika,ukienda kwa ufundi unaambiwa ilishapigwaga soanner