kwanza hili si jukwaa la matangazo then samsung galaxy pocket kila siku kwenye tv inatangaziwa mpyaaaaa shilingi laki 2 iweje used iwe laki 2 na nusu? au ndo ile hulka ya kitanzania mtumba bora kuliko kipya?
na samsung galaxy pro mpya dukan pia haifiki laki 3 na sabini hebu acha utapeli