ha ha ha.hata dukan hupat kwa lak 2.labda iwe copy weweee.s2 jpange kuanzia lak4 kaka.hyo 2 utapata inastuck kla mara...tafta huawei ascend kama unashda sana ya androids...
Aisee, mimi ninayo ya hivyo. Ni majanga, kumbe ni asili yake. Nilitaka kuipeleka kwa fundi ngoja niache. Yaani, mara herufi fulani zinashindwa kufanya kazi, mara kitufe cha kupokea kinagoma, yaani matatizo mia mbili kasoro tatu