Kila siku tunasema huawei itakuja kuwa namba moja baada ya miaka 2 ijayo kama walivyojiwekea malengo ya kushika namba moja ifikapo 2021 hakika nakubaliana nao kabisa.
Huawei ndio kampuni ya kwanza duniani kuja na foldable phones tokea February mwaka huu walitoa Huawei mate X na inafanya poa sokoni,
Samsung sikuhizi anahangaika sana na Huawei kuliko alivyokuwa anahangaika na iphone