SAMSUNG Flat screen, LCD inch 32 inauzwa

SAMSUNG Flat screen, LCD inch 32 inauzwa

Jack Beur

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2010
Posts
222
Reaction score
246
Ina hali nzuri, ina mwaka mmoja na miezi 4, bei Laki 8.
Serious buyer njoo inbox
 

Attachments

  • 20171227_153640.jpg
    20171227_153640.jpg
    126.9 KB · Views: 96
Hahha halafu hzo ndio zile za kwanza kabisa,ya hapa nyumbani ilinunuliwa 2007! Na sikuiz LCD sio ishu wamehamia LED
 
ilianza LCD tukahamia LED na sasa ni mwendo wa Smart tv... wewe unaturudisha nyuma kwa bei kubwa ajabu
 
Wewe hii tv huu ulitaka tu kutuonyesha kuwa tv basi
 
Ina hali nzuri, ina mwaka mmoja na miezi 4, bei Laki 8.
Serious buyer njoo inbox
Duuuu mkuu unatafuta mtaji mm Smart tv samsung 32 nimechukua kwa lak 7 iyo lcd mbona kitambo ata kwa laki 4 anunui mtu labda ukaiuze kijijini
 
LCD used laki 8? Itakuwa ya urithi na bahati mbaya marehemu alipoteza receipt ya manunuzi basi mliochiwa mnabuni tu bei
 
mkuu habari yako?
hiyo bei kwa hiyo TV mkuu
ni kubwa kwa vigezo vifuatavyo
1. NI TOLEO LA ZAMANI KIDOGO
2. INCH 32
3. USED
 
Tobaa lcd umenunua una mwaka na miezi minne unauza laki8.wewe si utakuwa uliuziwa milioni na nusu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Aisee LED 32" napata kwa 600k mpyaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom