Nauza tv flat ya samsung inch43 kwa shillingi 950,000
Samahani kaka. Usitumie hilo jina la Nabii Suleiman. Tumia Suleimani tu na ondoa hilo nabii. Usifanye mchezo na manabii.Nauza tv flat ya samsung inch43 kwa shillingi 950,000
Samahani kaka. Usitumie hilo jina la Nabii Suleiman. Tumia Suleimani tu na ondoa hilo nabii. Usifanye mchezo na manabii.
Wallahu a'alam
Nauza tv flat ya samsung inch43 kwa shillingi 950,000
Endelea kaka. Ila nimeshakufikisha ujumbe...Unatumia hilo jina la nabii halafu unacomment kwenye thread chafu za mapenzi n.kMkuu hili jina ndio nalitumia sehem zote nilizokaa na ntazokaa na sina mpango wa kubadilisha. Na sijafanya mchezo nalo mpaka sasa. Huna uwezo wowote wa kunipangia nachotaka. Sawa kijana.
Mkuu hili jina ndio nalitumia sehem zote nilizokaa na ntazokaa na sina mpango wa kubadilisha. Na sijafanya mchezo nalo mpaka sasa. Huna uwezo wowote wa kunipangia nachotaka. Sawa kijana.
jibu zuri sana!
Uzuri wake nini??