Habari ndungu zangu.. Kama tangazo linavyosema ninauza TV inchi 21 aina ya Samsung na sababu ya kuuza ni nimepata TV nyingne kubwa zaidi.. Atakae kuwa interested tafadhali nitafute kwenye number hii 0712 22 02 07
Ina muda wa miezi nane na haina tatizo lolote kama nilivyoeleza sababu ya kuuza ni nimepata kubwa zaidi.. Na niko dar es Salaam.. Bei ni laki mbili nanusu..