Nina kilo vipSamsung C9 plus inauzwa kwa 200,000 simu ni mpya kabisa haina tatizo lolote unaikagua ukiridhika ndipo unalipia. Mawasiliano ni 0746862603 nicheki tuongee biashara
Specs
Eternal memory 32Gb
Back Camera 8megapixel
Front 5megapixel
Android version 7.0
Face unlock supported
Exchange deal inategemea na simu uliyonayo
Duh!! Screen au!?Nina kilo vip
MBEZI darUpo wapi?
Rist ipo?
Hats hivyo naifikiria sana, maana cm ikisha tumika zaidi ya miaka au miezi issueKilo bado mkuu fanya hata kilo na nusu nikufikirie
Bila rist itakuaje mkuuSina duka kiongozi wangu ila Mali ni ya kwangu mashine ni mpya tu haina tatizo kama umefikia bei nicheki kiongozi tumalize biashara nipo Dar
Dah!!Kula 80k