fundibaskeli
Member
- Nov 9, 2016
- 84
- 115
acha ubishi man, kuna some tasks huwezi kuzifanya kwa cracks.... hakuna crack inayoread na kuwrite certificates.. nambie crack gan inaremove reactivation lock?... njia za mkato za frp kwa samsung ni otg na side sync na zikifail hzo huna tena means.. may b utuelekeze umsaidie na jamaa hapo na hyo j7 yakembona watu mnakariri mabox mabox ni uvivu wa kutotaka kuwa maguru wa kufind solution online watu wanataka njia za plug your device>>> press ok>>>successful
upo wapi kwanza
acha ubishi man, kuna some tasks huwezi kuzifanya kwa cracks.... hakuna crack inayoread na kuwrite certificates.. nambie crack gan inaremove reactivation lock?... njia za mkato za frp kwa samsung ni otg na side sync na zikifail hzo huna tena means.. may b utuelekeze umsaidie na jamaa hapo na hyo j7 yake
Nipo geita ndugumbona watu mnakariri mabox mabox ni uvivu wa kutotaka kuwa maguru wa kufind solution online watu wanataka njia za plug your device>>> press ok>>>successful
upo wapi kwanza
cdhani km kuwepo kwako jf muda mrefu kuna any relatn na mada tajwa hapo juu.. j7 ya 2016 haitoki kwa otg na hata sidesync haiwezi detect hyo cmu coz haina adb when locked to frp hata kwa z3x inatoka kwa download mode not adb... when we talking of gsm phone cdhani km jf ndo only forum... just check me on gsmforum bro na xda developers