N Nsema JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 275 Reaction score 482 Jun 4, 2022 #1 Wadau mnamkumbuka Mh. Samson Mwigamba amabaye alikuwa Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha, Akaenda Act- Wazalendo. Baadaye akahamia CCM. Huyu jamaa alikuwa Bwana migogoro kwenye vyama. Kwa miaka ya karibuni huyu nguli kapoa sana. Sijui Yuko wapi? na anajishughulisha na nini! Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Wadau mnamkumbuka Mh. Samson Mwigamba amabaye alikuwa Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha, Akaenda Act- Wazalendo. Baadaye akahamia CCM. Huyu jamaa alikuwa Bwana migogoro kwenye vyama. Kwa miaka ya karibuni huyu nguli kapoa sana. Sijui Yuko wapi? na anajishughulisha na nini! Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,210 Reaction score 37,845 Jun 4, 2022 #2 Alikua mlamba makalio wa jiwe,akaanza kuandika makala kwny magazeti then sijui alipotelea wapi.
Kanye2016 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 3,019 Reaction score 3,193 Jun 4, 2022 #3 Amemaliza kazi alizotumwa
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,403 Reaction score 29,360 Jun 4, 2022 #4 Alishaumaliza mwendo.
N Nsema JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 275 Reaction score 482 Jun 4, 2022 Thread starter #5 wa kupuliza said: Alikua mlamba makalio wa jiwe,akaanza kuandika makala kwny magazeti then sijui alipotelea wapi. Click to expand... Alikuwa anaandikia kupitia sijui magazeti ya Tanzanite itakuwa Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
wa kupuliza said: Alikua mlamba makalio wa jiwe,akaanza kuandika makala kwny magazeti then sijui alipotelea wapi. Click to expand... Alikuwa anaandikia kupitia sijui magazeti ya Tanzanite itakuwa Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
N Nsema JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 275 Reaction score 482 Jun 4, 2022 Thread starter #6 wa kupuliza said: Alikua mlamba makalio wa jiwe,akaanza kuandika makala kwny magazeti then sijui alipotelea wapi. Click to expand... Alikuwa anaandikia kupitia sijui magazeti ya Tanzanite itakuwa Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
wa kupuliza said: Alikua mlamba makalio wa jiwe,akaanza kuandika makala kwny magazeti then sijui alipotelea wapi. Click to expand... Alikuwa anaandikia kupitia sijui magazeti ya Tanzanite itakuwa Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app