Kikao cha marais wa nchi za SADC, kimeamua kuondoa majeshi yote ya nchi hizo, kurahisisha upatikanaji wa suruhu la kudumu la amani nchini humo.
View attachment 3269216
Wakati huo, kisiwa cha Idjwi tayari kipo mikononi mwa M23, kwa maana ziwa Kivu, serikali ya DRC hainusi.