Katibu mkuu sio leo ball baada ya miaka miwili watafanya uchaguzi ndio atakabidhiwa uenyekiti Magufuli hapo atateua sekretriet mpya yake ya ccm na hapo atateua Katibu mkuu mpya ikiwa kinana hata kuwa radhi kuendelea basi atawajibika kutafuta mwingine kwani dhahiri shahiri kakitendea mkubwa ccm kuliko makatibu wakuu zaidi ya sita waliopita ccm ingekosa kinana safari hii tungekuwa tunaizika rasmi