Samia mguu sawa: Bima ya afya kwa wote

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
784
Reaction score
696


🔺Ni ili Mwaka wa Fedha 2028/2029 kila kaya iwe na bima

🔸Maoni ya wadau tayari, kifuatacho kubadili sheria NHIF

🔹Hakuna ubaguzi, kaya masikini nchi nzima kugharamiwa

Kazi Na Utu Tunasongambele
 
Hawataweza niamini hakuna sekta ngumu kama sekta ya afya inahitaji serikali imara, lakini serikali hii ina mzigo mkubwa kuliweka pamoja taifa lililopotea siyo kazi rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…