Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,590
- 31,139
Ila mama amemind mwishoni, alipomwambia Kikeke suala la katiba mpya amwachie yeye na watanzania[emoji16].Habari zenu wakuu??
Samia suluhu hassan amehojiwa leo na mtangazaji salim kikeke katika mwaka mmoja Tangua aiingie madarakani
nini mtazamo wako kuhusiana na mwaka mmoja wa mama samia?View attachment 2155773
Wizi, ubadhirifu,Habari zenu wakuu??
Samia suluhu hassan amehojiwa leo na mtangazaji salim kikeke katika mwaka mmoja Tangua aiingie madarakani
nini mtazamo wako kuhusiana na mwaka mmoja wa mama samia?View attachment 2155773
Samia amekomaa Sasa tumpe muda hadi 2035 kbisa
USSR
Kama ni hivyo basi ameanza kuwa Real.Kusema kweli, leo nimependa majibu ya mama samia. Alikua na confidence ame relax, tufauti sana na yale mahojiano yake ya kwanza.
Pia leo ameweza kuepuka mitego ya kikeke. Nadhani bi zuhura yunus amafanya kazi nzuri kumpa muongozo mama
Japo kuna mda aliuluzwa swali la katiba kidogo amtimue kikeke
Pia amaepuka mtego wa lisu wa kuakikishiwa ulizi, mama amakua mjanja sana
kwa leo nikiambiwa ni range 1 - 10, angepata 8
Na roho itaendelea kukuuma sana. Ulitarajia Samia awe kama Jpm.Samia amekomaa Sasa tumpe muda hadi 2035 kbisa
USSR
Full video iko wapi?Habari zenu wakuu??
Samia suluhu hassan amehojiwa leo na mtangazaji salim kikeke katika mwaka mmoja Tangua aiingie madarakani
nini mtazamo wako kuhusiana na mwaka mmoja wa mama samia?View attachment 2155773
Samia amekomaa Sasa tumpe muda hadi 2035 kbisa
USSR
Mi naona aendelee tu hadi 2050. Au nakosea ndugu zangu?!Samia amekomaa Sasa tumpe muda hadi 2035 kbisa
USSR