doup JF-Expert Member Joined Feb 26, 2009 Posts 2,718 Reaction score 2,901 Nov 6, 2019 #2 Hizi ni juhudi za #mataga 🤣🤣🙈🤣
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 41,026 Reaction score 47,141 Nov 6, 2019 #3 Samagoal..
Chakaza Platinum Member Joined Mar 10, 2007 Posts 41,046 Reaction score 74,764 Nov 6, 2019 #4 Shukrani za pekee ziwaende CCM na mwenyekiti wao kwa kumuwezesha Samatta na timu yake kupata goli. "Hatunywi sumu hatujinyongi! CCM mbele kwa mbele! ¥€¶yeba ! ¥√π
Shukrani za pekee ziwaende CCM na mwenyekiti wao kwa kumuwezesha Samatta na timu yake kupata goli. "Hatunywi sumu hatujinyongi! CCM mbele kwa mbele! ¥€¶yeba ! ¥√π
Kawe Alumni JF-Expert Member Joined Mar 20, 2019 Posts 8,686 Reaction score 12,016 Nov 6, 2019 #6 Awamu ya tano Taifa stars imefuzu Kombe la Africa toka Nyerere aondoke madarakani Vijana wengi wanawika ulaya sababu ya sera nzuri za Magufuli kwenye michezo Hongera Magufuli,Tunakuombea afya njema uipeleke Tanzania katika uchumi wa kati
Awamu ya tano Taifa stars imefuzu Kombe la Africa toka Nyerere aondoke madarakani Vijana wengi wanawika ulaya sababu ya sera nzuri za Magufuli kwenye michezo Hongera Magufuli,Tunakuombea afya njema uipeleke Tanzania katika uchumi wa kati
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,660 Reaction score 89,486 Nov 6, 2019 #7 Kajamaa kanaruka mpk huyo kaptein wa time pinzani anashangaa miguu badala ya mpira!! Hivi na kuruka huko ni juhudi za awamu ya tano..?😎🏃🏃
Kajamaa kanaruka mpk huyo kaptein wa time pinzani anashangaa miguu badala ya mpira!! Hivi na kuruka huko ni juhudi za awamu ya tano..?😎🏃🏃